Kumb.Na.JA.9/259/01/A/469

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma, kwa niaba ya wizara, idara zinazojitegemea, wakala wa serikali tawala za mikoa na serikali za mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 177 kama ilivyo katika barua hapo chini.


Download Tangazo Lote Hapa. (New)
Wizara ya Afya kupitia Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa

Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/128/01/” B”/75 cha tarehe 04

Mei, 2023 na Kumb. Na FA.97/128/01”B”/78 cha tarehe 09 Agosti, 2023;

Inatangaza nafasi za kazi 289 za Kada za Afya kama ifuatavyo: -


DOWNLOAD TANGAZO LOTE HAPA👈