JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

OFISI YA RAIS TAWALA ZAMIKOA NA SERIKALIZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba anawatangazia wote wenye sifa na uwezo wa kuiaza nafasi 04 za Watendaji inavyoonekana hapa chini:-


(1) WATENDAJI WA VlJlJl DARAJA lll - (NAFASI 04) - TGS B

SIFA ZA MWOMBAJI

Awe na Elimu ya Kidato cha lV au cha Vl  

*Awe na cheti cha Astashahada (Technician certificate - NTA LEVEL 5) katika fani ya Utawala, sheria, Maendeleo ya Jamii, Usimamizi wa Fedha au sayansi ya Jamii kutoka chuo cha serikali za Mitaa Hombolo Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

MAJUKUMU YA KAZI.  

Afisa Masuuli na Mtendaji mkuu wa Serikali ya Kiiiji. . 

Kusimamia Ulin zi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiii.

Kuratibu na Kusimamia Upangaji wa Utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya Kiiiji' 

Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.

Kuandaa Taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali. 

Ajira yake itakuwa ya masharti ya kudumu na pensheni ya uzeeni


MASHARTI YA JUMLA KWA MWOMBAJI . 

Mwombaji awe ni raia wa Tanzania na mwenye umri usiozidi miaka 45. . 

Mwombaji aambatishe nakala ya Cheti cha Kuzaliwa, Vyeti vya taaluma, Kitambutisho cha NIDA au namba ya NIDA maelezo Binafsi (CV), Vyeti vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliofika kiwango hicho pamoja na Vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa zilizoainishwa. 

Hati za matokeo ya Kidato cha Nne na Sita (Statement of Results) havitakubalika. 

Picha moja Passport Size (iandikwe kwa nyuma jina la mwombaji). 

Wale ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma Wasiombe Kazi hii. '- . 

Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kwa I njia ya Posta kwa anuani ifuatayo:- , 

Mkurugenzi Mtendaji, 

Halmashauri ya Wilaya, S.L.P 491, 

BUKOBA.

Mwisho wa kutuma Nlaombi ni tarehe 1710812023.