OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. AB.JA.9/259/01/A/338                    14/07/2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 04-19/02/2023 na 14-29/05/2023 kuwa
matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo
hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala yawazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa.

NB: 
Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na
kuja na Kitambulisho kinachotambulika.

NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
1 Wizara ya Kilimo ICT OFFICER II (APPLICATION PROGRAMMERS)

1. WILLIAM THOMAS
SEKAMAGANGA

2 Wizara ya Kilimo ICT OFFICER II (APPLICATION PROGRAMMERS)
1. ELIVIA MELCHIADES
KABIGUMILA
2. ROSE KELLO RASHID

3 Wizara ya Kilimo AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 
1. THEREZA CLIFODY MAINGU
2. BATHROMEO TIMOTHY NGELA
3. ENOCK JOHN MAMBYA

4 Wizara ya Kilimo TECHNICIAN II (ELECTRICAL)

1. STANSLAUS MATAI RAPHAEL

5 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)

AFISA TAWALA DARAJA LA II

1. ASHIRI SHAIBU JUMA

6 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT
OFFICER II) 
1. KARIM ABDI KASSINGO

7 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA UTUMISHI DARAJA LA II

1. LOUIS JOACHIM PADRACK

8 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 

1. NASRI PAZI KITWANA

9 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER GRADE II

1. DOMINICK GOODLUCK SANGA

10 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
1. ASHA ABEID ADAM

11 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
GEOLOGIST II

1. WILLIAM ALLAN KALINGA
2. JOFREY JUSTUS MUSIZA
3. BERTHA HEMEDI
MATOBANGO
4. MUSTADI SHABANI MSHAKANGOTO

12 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
ENGINEER II (MINERAL PROCESSING)

1. BRIGHTONY ANSELMI JULIUS TEMBA
2. YOHANA ANDREW NYIRENDA
3. ABRAHMAN ABUBAKARI PANGA

13 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)

CHEMIST OFFICER -II
1. BEATRICE GUSTODES MUHANIKA

14 Institute of Accountancy Arusha (IAA) RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
1. ATEMISTA STULMIUS PONERA

15 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)

TECHNICIAN II (CARTOGRAPHER) -II
1. VERONICA CHARLES MTUHI

16 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)
CHEMIST OFFICER -II
1. POLIECT ONESMO NGOWI
2. JULIUS KIKOHI TUMAINI

17 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) KATIBU SHERIA DARAJA LA II
1. SIZA JACKSON PIMA
2. FOKAS GASPA BRUNO
3. MSAFIRI JUMA IRONDO
4. ELIADA NYAMIHIRI WEREMA
5. SIA IBAMBA MASAGA
6. NELLY SAILAS KATOTO
7. EDWARD SIMON JOHN
8. DANSTAN STANSLAUSFRANCIS
9. PETER JACKSON KAMUGISHA
10. GLORY ENOCK WAZIRI
11. PASCHAL JOSEPH JASHO
12. FRANCIS LUCAS SYPRIN
13. CAROLINE ZABRONCHARLES
14. MICHAEL GEORGE MJEMA
15. RICHARD WILLIAM MOLLEL
16. LOYCE TWEGE NZIGE
17. FREEDOM PHILEMON MWAKIGONJOLA
18. HUMPHREY MICHAEL MOLLEL
19. FARIDI ABDALLAH OMARI
20. LILIAN WILLIAM KACHUMITA
21. SUZAN AUGUSTINE MACHUMU
22. TATU JUMA HARUNA
23. YULITHA ELISHA MWANJOKA
24. RAHIMU NURU RWEGOSHORA
25. GRADNESS MISUKA EPHRAIM
26. MALIMA EDWARD NYEURA
27. ANDREA FOCUS GWIMBUGWA
28. NEEMA KENNEDY OGUTU
29. MAYUNGA PETER PIUS
30. HAIDAR HASSAN MOHAMMED
31. JOHN HHANDO BAYYO
32. BEATRICE OCKTAVIAN MVUMBAGU
33. NOEL HENRY MARUWA
34. OMARY SALUM NDAGULLAH
35. MSHINDO ABDALLAH JUMAH
36. ANTHONY DEUS MWITA

18 Institute of Accountancy Arusha (IAA) TUTORIAL ASSISTANT – PEACE AND SECURITY
1. OMARY MBWANA MAHANAKAH

19 Institute of Accountancy Arusha (IAA) TUTORIAL ASSISTANT – CYBER SECURITY/INFORMATION
SYSTEM SECURITY 
1. EZRA FREDRICK FUFU

20 Institute of Accountancy Arusha (IAA) TUTORIAL ASSISTANT – CHINESE
1. RAHIL JUMA NGURUKO

21 Institute of Accountancy Arusha (IAA) OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II
1. SARAH LUCAS MAKWAI

22 Wizara ya Kilimo MCHUMI DARAJA LA II
1. LUSUBILO HOSSEANA MWAKATUMBULA

23 Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Driver II
1. GODFREY AMOSI EMANUEL
2. RIZIKI STEVEN YOHANA
3. SEIF AHMAD LUYANGI
4. JOSEPH YOHANA KAYOMBO
5. SHUKRANI JOHN WAYAGA

24 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) MSAIDIZI UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II
1. AGNETHA LEOPARD LUOGA

25 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) MSAIDIZI WA MISITU DARAJA LA II
1. EMMANUELY ELISHA SANE
2. LIVIN EUGEN URIO
3. JOSHUA SEMU NASSARI
4. MWANAMKUU HAMISI ZUBERI
5. MERSIA EDWARD LOUTU
6. YASINTA ISHMAEL MOLLEL
7. GRACE ZABRON HAULE
8. GODLIZEN JOHN LAIZER

26 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) MSAIDIZI WA MISITU DARAJA LA II
1. AZIZA HUSSEIN MWASHA
2. BRIAN EVANCE EVARIST
3. AMANDA DEOGRASIAS MICHAEL
4. ABDUSHAKUR ALLY KINGU
5. ABDULKARIM ISSA MUNISI
6. OMEGA WILLY MASSAWE
7. VERONICA JOSEPH AKITANDA
8. LILIAN WILSON ORIO
9. NICCI PHILEMON CHIMAIS

27 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ASSISTANT FOREST OFFICER II
1. NOEL FRANCIS NKWAMA
2. PAMPHLY ISDORY SILAYO

28 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) AFISA MISITU DARAJA LA II
1. JERRYNESS AINEKISHA KABALEMA
2. CHAGU SELYA BANANJE
3. CHARLES CHACHA KEBOHI

29 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) AFISA MISITU DARAJA LA II
1. DENNIS SULUS MAKUBI
2. ZABURI ELIAS MINYALI
3. GLORY GERALD MAGOGWA
4. JORDAN MORIS JOACHIM

30 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) BEE-KEEPING OFFICER II
1. STEVEN PHILIP RINGIA

31 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
1. CHACHA BONIFACE SINGIRA

32 Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma INVESTIGATION OFFICER II
1. JUDITH STANLEY DANFORD
2. DEBORAH SIMON MWANJALI

33 Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
1. HAYTHAM HAMISI ALLY

34 Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II
1. SULEIMAN OTHMAN FARID

35 Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) DRIVER II
1. WILLIAM AUGUSTINO MGAYA

36 Wizara ya Kilimo AGRICULTURAL ENGINEER II – IRRIGATION
1. AMINA OTHMAN NDUDI
2. ABASI SHABANI MBWANA

37 Wizara ya Kilimo AGRICULTURAL ENGINEER II – CIVIL
1. SAMWEL JAMES RANGE
2. THEODORY BONIPHACE KISUMO

38 Wizara ya Kilimo AFISA UGAVI II ( SUPPLIES OFFICER II )
1. MARY JACOB LYIMO

39 Wizara ya Kilimo AFISA KUMBUKUMBU DARAJA II
1. AYUBU PAKET MWAMBUGHI

40 Wizara ya Kilimo AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT
OFFICER II) 1. REHEMA MSAFIRI YONGO

41 Wizara ya Kilimo AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 1. HELLEN EZEKIEL HOSEA

42 Wizara ya Kilimo AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL
OFFICER) 
1. ANETH SEVERIN KASABAGO

43 Wizara ya Kilimo AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
1. ATUGHANILE PICKSON SHIBANDA

44 Wizara ya Kilimo MTAKWIMU DARAJA LA II
1. MIRAJI ANDREW KAPANDE

45 Wizara ya Kilimo AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
1. NELSON BENEDICT KINYAMAGOHA

46 Wizara ya Kilimo AFISA TAWALA DARAJA LA II
1. SAMWEL ELIKANA JOSEPH
2. JOHNSON EPHRAHIM RUKAZA

47 Wizara ya Kilimo AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)
1. SESTINA GEOFREY NDELWA
2. ERICK OWDEN MWASIKANDA

48 Wizara ya Kilimo MCHUMI DARAJA LA II 
1. DANIEL DAUDI NSWEVE

49 Wizara ya Kilimo AGRICULTURAL TUTOR II - ENGINEERING 
1. JOYCE JOSEPH NAFTARI
2. HASSAN ALIAMINI KAJWANGYA

50 Wizara ya Kilimo AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL OFFICER) 
1. PRISCA ABDU MNGUU

51 Wizara ya Kilimo ICT OFFICER GRADE II (DATA ANALYST) 
1. RASHID HASSAN KATANDULA

52 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA TAWALA DARAJA LA II
1. MARIETHA NORBETH NDUNGURU
53 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)

DRIVER II.
1. FREEDRICK RWEGASIRA PHILIMATUS
2. YANGA BASHARI MUSSA

54 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)

AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 
1. NASSORO RASHID ISSA

55 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)

AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
1. MOHAMED HARIRI TUWANO

56 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II) 
1. SAIDI SALUMU HASSANI

57 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)
1. REGINA MATINDE MWESSA

58 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II)
1. ELIUD KISWIGO MWAKASINGA

59 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 1. NEEMA NYERERE MATHIAS

60 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
1. JUDITH HENRY NYAKI

61 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER II)
1. EZERON MASUMBUKO
SWEETBERT
62 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)
1. AMEDEUS MROSSO DAUDI
63 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA UGAVI DARAJA LA II
1. COSTANSIA JEROME NCHIMBI
64 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II)
1. JACKLINE CHRISTIAN
KITOMARI
65 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL
OFFICER) 1. DEBORA EZEKIA MSIGWA
66 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo MCHUMI DARAJA LA II
1. EMMANUEL METHUSELAH
NZUGWA
67 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
MTAKWIMU DARAJA LA II
1. AGNESS MWILWA MGALULA
68 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA TAWALA DARAJA LA II
1. NASRA DODO ZUBERY
2. DANIEL CHERD NGATUNGA
3. HANS TRYPHONE MWEJI
69 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
1. MIPAWA WEJA MACHONGO
2. IBRAHIMU SHABANI AMIRI
3. MAGDALENA PHILIPO
MASHAURI
70 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma (PSRS)
AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER
GRADE II) 1. BARAKA SAMSON CHIPANJILO
71 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
GEOLOGIST II
1. ALBERT OLAPH MDETELE
2. SELEMANI NG'WENDESHA
SILINGI
3. ANDREW KULWA BULUBA
72 Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania
(GST)
ENGINEER II (MINERAL PROCESSING)
1. ALICIA SWEETBERT KISHA
73 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II)
1. LUCIA JORAM TIMBA
74 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II)
1. PURITY GERALD MATERU

75 Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)
1. CHRISTIAN SHEDRACK KASONTA
LIMETOLEWA NA;
KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA