Summary

  • MaxflixTv tulikupa taarifa ya beki wa kati wa Simba Joash Onyango kuhusishwa Singida Fountain Gate na sasa rasmi ndani ya uzi wa Singinda wakitolewa kwa mkopo na wanamsimbazi

Beki wa kati wa Simba Josh Onyango alikuwa akisubiri 'Thank you' kutoka Simba ingawa badao hajapewa mkno wa kwaheri na   aliomba kuondoka Simba kutokana na kutokuwa na furaha ndani ya kikosi hichoNa pia kutotimiziwa baadhi ya matakwa yake lakini ni kama bado mabosi wa timu hiyo  walikuwa wakiihofia kumuachia kutokana na kukosa mbadala wake.

Mwanaspoti tulikupa taarifa ya beki wa kati wa Simba Joash Onyango kuhusishwa Singida Fountain Gate na sasa rasmi ndani ya uzi wa Singinda wakitolewa kwa mkopo na wanamsimbazi

Onyango aliyepo Kenya kwa sasa, aliomba kuondoka lakini viongozi walikuwa wasikilizia dili la Che Fondoh Malone ili kuja kuziba nafasi yake aungae na Kennedy Juma na Henock Inonga

Kutemwa kwa wachezaji huo kutaifanya Simba kufikisha idadi ya nyota 11 waliopewa 'Thank You' wakiwamo Jonas Mkude, Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Kipa Beno Kakolanya, Victor Akpan, Nelson Okwa, Augustine Okrah, Ismael Sawadogo na Mohamed Ouattara.