Mechi za Africa Super League zitachezwa katika Miji ya.. 


• Cairo

• Casablanca 

• Pretoria

• Dar es Salaam 

• Lubumbashi 

• Aba

• Luanda

• Tunis 


ℹ️ Draw itafanyika mwezi September hii ni kutokana na Wadhamini walivyotaka


ℹ️ Itakuwa October na Ni kuanzia Robo fainal Nusu fainal na Fainal.


ℹ️ Mechi zitakuwa za Nyumbani na Ugenini baada ya draw kutoka kwenye makundi 2. 


Timu zitakazoshiriki ni: 


1. Al Ahly 🇪🇬 

2. Sundowns 🇿🇦

3. ES Tunis 🇹🇳

4. Wydad 🇲🇦

5. Simba 🇹🇿

6. Petro Luanda 🇦🇴

7. TP Mazembe 🇨🇩

8. Enyimba 🇳🇬


#AfricaSuperLeague | #AfricanFootball