JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

CHUO KIKUU CHA MWALIMU JULIUS K. NYERERE CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA (MJNUAT) 


OFISI YA NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO – MIPANGO, 

FEDHA NA UTAWALA 

S.L.P 976 

Musoma Mara (HQ-Butiama) 

TANZANIA 

Simu.: +255282985750/282985749 

Barua pepe: [email protected] Tovuti: www.mjnuat.ac.tz Kumb, 

No. MJNUAT/AD/4/Vol.II/24 01 Aprili, 2023 


TANGAZO LA KUITWA KAZINI 

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliofanya usaili tarehe 30 Machi, 2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. 

Waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kufika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) tarehe 03 Aprili, 2023 saa mbili kamili asubuhi kwaajili ya taratibu nyingine; wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili. 

Nyaraka tajwa ni kama ifuatavyo; 

i. Vyeti halisi (original certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea, na nakala za vyeti hivyo zilizothibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate); 

ii. Cheti cha kuzaliwa; 

iii. Nakala/namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na 

iv. Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs). 

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.  

MAJINA YA WAOMBAJI KAZI WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KAZINI Na. KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 

1. ASSISTANT LECTURER – CIVIL ENGINEERING 1. AMANI ABDALLAH HEPAUTWA

2. ASSISTANT LECTURER – ENERGY/RENEWABLE ENERGY ENGINEERING 1. FRANK PROSPEROUS GATAWA 


LIMETOLEWA NA; 

NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO – MIPANGO, FEDHA NA UTAWALA CHUO KIKUU CHA MWALIMU JULIUS K. NYERERE CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA (MJNUAT)


JOIN OUR SOCIAL MEDIA PLATFORMS FOR MORE UPDATES

 


TAP HERE TO VISIT OUR WEBSITEnews

TAP HERE TO DOWNLOAD OUR APP (GOOGLE PLAY STORE)news