NAFASI YA UALIMU GOD'S BRIDGE   SCHOOL - TUKUYU 

NAFASI YA UALIMU GOD'S BRIDGE  SCHOOL - TUKUYU 

NAFASI YA UALIMU GOD'S BRIDGE   SCHOOL - TUKUYU Uongozi wa shule ya Msingi GOD'S BRIDGE ENGLISH MEDIUM SCHOOL - TUKUYU 

Unapenda kuujulisha umma wa watanzania kuhusu AJIRA za Walimu Kwa masomo yafuatayo: 


1. Pure Mathematics  and Science

2. English, Civic & Moral and Social Studies.

3. Mwalimu wa Chekechea. 


Sifa za Mwalimu anayehitajika shuleni God's Bridge English Medium School Tukuyu

1. Awe Mtanzania

2. Awe Mhitimu kutoka Chuo cha Tanzania Kuanzia astashahada Hadi Shahada.

3. Fluency in English speaking.

4. Aje na nakala za vyeti na CV yake. 

5. Asiwe mstaafu.

6. Awe mchangamfu

7. Mtaalamu na mbobezi

    kwenye masomo   tajwa.


Interview itafanyika siku ya Jumatano (5/4/2023) kuanzia saa 2.00 asubuhi hapa shuleni .


NB: Mwalimu mwenye fani mbalimbali  atapewa  kipaombele.


Mawasiliano:

0757623658

0742963134Nyote Munakaribishwa:


JOIN OUR SOCIAL MEDIA PLATFORMS FOR MORE UPDATES

👇👇👇👇👇👇 


TAP HERE TO VISIT OUR WEBSITEnews

TAP HERE TO DOWNLOAD OUR APP (GOOGLE PLAY STORE)news