Leo na kesho Meridianbet wanakupa pesa kwenye mechi za ligi ya Mabingwa huku kila timu inahitaji kusonga mbele kwenye hatua inayofuata. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kubwa ya kushinda zaidi ya mamilioni yanayotolewa hapa hapa.

Pale Etihad vijana wa Pep Guardiola watawaalika RB Leipzig ambao mechi ya kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 huku kila timu leo hii ikijipanga kuondoka na ushindi ili iweze kutinga robo fainali. Je nanai ana nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo hii? Bashiri na Meridianbet sasa.

Mechi iliyopita ya ligi City wametoka kupata ushindi na kusalia kwenye nafasi yao ile ile ya pili kwenye msimamo, huku RB wao wakitoka kutoa dozi nzito wakiwa nyumbani kwao na hivyo kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.

 Endelea kuchezo Michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet ikiwemo Sloti, Poker, Aviator, Roulette na mingine mingi ambayo inaweza kukupatia pesa.

 Mechi nyiingine itakuwa ni ile inayowakutanisha FC Porto ya Ureno dhidi ya Inter Milan ya Italia ambayo ipo chini ya Inzagi huku timu hizi walipokutana mara ya kwanza Porto alikufa ugenini, na leo hii yupo nyumbani. Je ataweza kulipa kisasi?

Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Inter akiwa na ODDS ya 2.65, sare ikiwa na 3.19, na Porto akipewa 2.74. Wewe tiketi yako ya ushindi unaipeleka kwa nani? Ingia na ucheze na Meridianbet.


Kesho kuna mbungi nyingine itapigwa unajua ni nani na nani? Hawa hapa

 

Real Madrid dhidi ya Liverpool ambapo Majogoo watakuwa Santiago Bernabeu kujiuliza maswali ambayo mashabiki wa mpira nao watakuwa wanajiuliza kama wanaweza kupindua meza kibabe mbele ya vijana wa Carlo Ancelotti.

Mechi ya kwanza Madrid walionyesha ukubwa wa ajabu baada ya kutokea nyuma kwa mabao mawili na kuisambaratisha Liver kwa kuichapa mabao 5-2 wakiwa Anfield. Je hiyo nafasi ipo ya wao kushinda mabao yote hayo huku Madrid wakiwangalia tu? Beti mechi hii na Meridianbet sasa.


Vinara wa Serie A, Napoli watawaleta Eintracht Frankfurt nyumbani kwao huku mechi ya kwanza Spaletti aliondoka na pointi tatu na ushindi wa mbao 2-0, huku Timu hiyo ya Ujerumani wakipata adhabu ya kadi nyekundu.

 Frankfurt watahitaji kushinda mechi hiyo dhidi ya Napoli ambao wapo kwenye  kiwango bora msimu huu huku wakiwa wamepoteza mechi mbili pekee tu kwenye ligi. Malengo ya Napoli msimu huu ni kuchukua Scudetto pamoja na UEFA, kwenye ligi tayari kati ya 10 wana 9.

Meridianbet wanatoa michezo ya kasino ya mtandaoni sloti, Aviator, Roulette na mingineyo ambayo inaweza kukupatia ushindi wa pesa kibao na ni kwa dau dogo tu.