Tamisemi self form how to change combination for form five students.


MUONGOZO WA MWANAFUNZI KATIKA MFUMO WA SELFORM

NAMNA YA KUINGIA NA KUBADILISHA MACHAGUO

Umeandaliwa na:-

Ofisi ya Rais,

Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,

S.L.P 1923,

DODOMA.

 

SUBSCRIBE

JUKUMU LA MWANAFUNZI KATIKA MFUMO WA SELFORM

Mwanafunzi (Muhitimu wa Kidato cha Nne (Form Four)) – Jukumu lake kuu katika

mfumo wa Selform ni kubadilisha baadhi ya taarifa binafsi kama Home Address, Mobile Number,

Email Address na machaguo ya shule, vyuo na tahsusi zake katika seksheni zingine kutokana na

ufaulu katika matokeo yake.


1. NAMNA YA KUINGIA KWENYE MFUMO WA SELFORM

 Click sehemu iliyoandikwa FOR A NEW CANDIDATE CLICK HERE TO REGISTER chini mwisho wa hii page,

 Kisha, ujaze taarifa zinazohusika za Index Number kwa format ya Mfano

S0101.0020.2018, Jibu swali utakaloulizwa, Jina la Ukoo na Mwaka wa kuzaliwa

kama inavyoonekana hapo chini.

 Kisha dirisha litafunguka na kutaka ujaze Password utakayoitumia siku zote. Dirisha

  litafunguka;

 Ukishaandika Password, mfumo utaonekana na kuonesha umefanikiwa kubadili

Password;

 Ukishabadili Password, utaitumia kuingia kwa mara nyingine kwa kuandika username

mfano S0101.0002.2018 na Password uliyoibadili.


2. PART A: TAARIFA BINAFSI ZA MWANAFUNZI

Ukishaingia kwenye mfumo, dirisha lifuatalo litafunguka na sehemu zilizozungushiwa tu ndio

utaweza kubadili taarifa binafsi. Ukimaliza kujaza bofya Save and Next hapo chini ili kuendelea

mbele.



3. PART B1: STUDENT GENERAL CHOICES

Bofya katika sehemu hii ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo.


4. PART B2: ALTERNATIVE OPTIONS

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya vyuo vya

Kisekta. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT.


5. PART C1: FORM V STUDENT DETAILED CHOICES

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya shule za form

V na tahsusi zake: KUMBUKA– Mwanafunzi ataona Possible combinations tu na shule

kutokana na ufaulu wa matokeo yake kwa lengo la kubadilisha. Ukimaliza bofya SAVE

& NEXT or Save & Go Back.


6. PART C2: TECHNICAL EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya

Technical na Tahsusi zake: KUMBUKA– Mwanafunzi lazima awe na ufaulu wa Tahsusi

ya PCM katika matokeo yake kwa ajili ya kubadilisha eneo hili. Ukimaliza bofya SAVE

& NEXT or Save & Go Back.



7. PART C3: HEALTH EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya

Afya na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.


8. PART C4: DIPLOMA EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya

Elimu na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.


9. PART C5: OTHER COLLEGES

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo

Vinginevyo na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.


MWISHO WA MWONGOZO

  • Hakikisha unasoma maelezo yote hapo juu vizuri na kuyaelewa.

Ukikwama kubadili machaguo, wasiliana na Tamisemi kwa namba walizotangaza kwenye barua (Announcement latter) hapo chini.

Ukikwama kabisa utachangia bundle (5,000/=) tukusaidie kubadili machaguo
Email us on  [email protected] or 
Send WhatsApp Text to 0658 646 276



SELF FORM SYSTEM TAMISEMI  |  KUBADILISHA COMBINATIONS

👇👇👇👇👇👇 


IF YOU HAVE ACCOUNT ALREADY CLICK HERE TO LOGIN

FOR A NEW CANDIDATE CLICK HERE TO REGISTER




ANGALIA NA DOWNLOAD VIDEO ZA  MASOMO MBALIMBALI HAPA.

01. NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE   >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>

02. WATOTO WA MAMA NTILIE   >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>

03. KILIO CHETU   >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>

04. THE LION AND THE JEWEL   >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>

05. UN ANSWERD CRIES    >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>

06. THREE SUITORS ONE HUSBAND   >>>WATCH>>>DOWNLOAD>>>


NA NYINGINEZO NYINGI KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YETU YA MAXFLIX TV


FORM FIVE SELECTION 2023/2024

 Announcement | DOWNLOAD HERE