Bondia Mtanzania Karim Mandonga ameshinda pambano lake dhidi ya Bondia Kenneth Lukyamuzi Raia wa Uganda kwa point katika pambano la round 8 lililochezwa Nairobi Kenya katika ukumbi wa Kasarani Gymnasium.