Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Mohamed Bashe anaendelea na ziara ya kikazi katika mikoa 6 nchini ambayo ni Rukwa, Songwe, Iringa, Njombe ,Ruvuma na Mbeya, ambapo amekuwa akisikiliza na kuzitatua kero mbalimbali za wakulima.