WHO WE ARE
  • The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1).
👇
Vision

  • To be a Centre of Excellence in Public Service Recruitment in the region.

Mission
👇
  • To undertake recruitment of Public servants using modern approaches by adhering to principles of equity, transparency and merits as well as providing advice to employers on employment related matters.

Functions Of Public Service Recruitment Secretariat

  • The major role of PSRS is to facilitate recruitment in the Public Service. According to the Public Service Cap. 298 of 2002 as amended by Amendment Act No. 18 of 2007 section 29 (1), the functions of PSRS are:-Search for various professionals with special skills and prepare database for such professionals for easier recruitment;
  • Register graduates and professionals for purposes of ease of reference of filling vacant posts;
  • Advertise vacant posts occurring in the public service;
  • Engage appropriate experts for purposes of conducting interviews
  • Advise employers on various matters related to recruitment, and
  • Do any other act or thing which may be directed by the Minister responsible for Public Service.
👇
Core Values
  • The core values of PSRS cornerstones of work performance and conduct in adaptation to changes in society, government, politics, and technology. The following were PSRS core values:-Pursuit of excellence in service delivery.
  • Loyalty to Government.
  • Diligence.
  • Integrity.
  • Courtesy to all.
  • Respect for the law, and
  • Proper use of official information

👇

 OFISI YA RAIS 

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 

Kumb.Na.JA. 9/259/01/A/228                                                           20/02/2023 


TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06-12-2022. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.



👇👇👇👇👇👇



TANGAZO LA KUITWA KAZINI NPS & WIZARA YA KILIMO 20-02-2023



JOIN OUR WHATSAPP GROUP  

JOIN OUR TELEGRAM CHANNEL

VISIT OUR WEBSITE

DOWNLOAD OUR APP ( GOOGLE PLAY STORE)

Please leave your comment