Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya  Wakuu wa nchi za Afrika pamoja na Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula.

Mkutano huo uliofanyika Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023 unaozungumzia masuala ya usalama wa chakula na kujitegemea kwa chakula kwa nchi za afrika.

Mkutano huu ni muhimu kwa maendeleo ya  sekta ya kilimo nchini.