Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Dakar nchini Senegal tarehe 26 Januari, 2023. 

Wengine katika Picha ni Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara  ya Kilimo Bw. Gerald Mweli pamoja na Viongozi wengine kutoka Tanzania.