About Immigration Department

Who we are

The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015.  It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.

Vision

To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.

Mission

To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.

Motto 

Migration security and developmentJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

IDARA YA UHAMIAJI


KUITWA KWENYE MAFUNZO

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao

wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha

Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga

siku ya Jumatano tarehe 01 Machi, 2023 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00

mchana. Kwa walioomba na kuchaguliwa kupitia Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,

wanatakiwa kuripoti Afisi Kuu Zanzibar siku ya Jumatano tarehe 22 Februari, 2023.

Atakayeripoti chuoni baada ya muda uliotajwa hatapokelewa.


Mahitaji na Vifaa: Kila mmoja anatakiwa kuwa na vifaa vifuatavyo; Mashuka

manne (4) yenye rangi ya bluu bahari, mto mmoja na foronya mbili rangi ya bluu

bahari, chandarua cha duara cha rangi ya bluu bahari, madaftari makubwa 11,

sanduku la chuma (trunker), ndoo mbili za plastiki (moja ya lita 20 na moja ya lita

10), fulana mbili za rangi ya dark blue zenye nembo ya Jeshi la Uhamiaji, Vifaa vya

Usafi (Jembe na mpini wake, fyekeo, sururu, panga na shoka), nguo za michezo

(tracksuit, bukta na raba), viatu vya mvua (rainboot), koti la mvua (raincoat), nguo

chache nadhifu na za heshima, kadi ya Bima ya Afya au Fedha Tsh. 50,400/= kwa

wasio na Bima ya Afya, Tsh. 20,000/= kwa ajili ya upimaji afya, Tsh. 60,000/= ya

kununua godoro, na fedha za matumizi binafsi. Mahitaji na Vifaa vilivyoainishwa

hapo juu vinapatikana katika Duka la Chuo. Gharama za Usafiri kutoka

nyumbani kwenda Chuoni zitagharamiwa na mhusika mwenyewe.

Aidha, kila mmoja aje na vyeti halisi vya elimu (Kidato cha Nne, cha Sita,

Astashahada, Stashahada, Shahada, na vyeti vya Ujuzi),cheti cha kuzaliwa, cheti

cha JKT/JKU na Kitambulisho cha Taifa (NIDA).

Imetolewa na;

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji

16 Februari, 2023.


JOIN OUR WHATSAPP GROUP  

JOIN OUR TELEGRAM CHANNEL


ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA

KUJIUNGA NA JESHI LA UHAMIAJI


1 ABDALLA HAMAD MAKAME MUSSA

2 ABDI MOHAMED ABDI

3 ABDILLAH H. MUOMBWA

4 ABDILLAH YUNUS HAJI

5 ABDILLAHI ABDULLA ALI

6 ABDULAAZIZ JUMA KHATIB

7 ABDULFATAHA MWICHANDE MAHAWA

8 ABDULHALIM RAMADHANI KHAMIS

9 ABDULHALIM ALI MOHAMED

10 ABDULHALIM H. ALI

11 ABDULKADIR MOHAMED MANZI

12 ABDULLA MOHAMED SAID

13 ABDUL-LATIF HAJI AMEIR

14 ABDUL-LATIF OTHMAN MFAUME

15 ABDULMALIK HILAL HAMIDU

16 ABDULRAHIM HAMISI HAJI

17 ABDULSALAAM AMRI MOHAMEDI

18 ABDUL-SATAR M. CHAMNDA

19 ABDUL-WAHID O. KHAMIS

20 ABRAHMAN KHAMIS KHALFAN

21 ABUBAKAR HASSAN FATAWI

22 ABUBAKAR KHAMIS HAMAD MUSSA

23 ABUBAKAR SALEH SAID

24 ABUBAKARI ABDALLAH UKWAJU

25 ACHSAH NYAMAGANDA MAGANDA

26 ADAM JUMA DAUDI

27 ADAM KOMBO KHAMIS

28 ADOLF MATHEW ULAYA

29 AGNES BOAZ JOHN

30 AHMAD MSAFIRI ABDALLAH

31 AHMED ALI SULEIMAN

32 AISHA KASSIM HAMAD

33 ALEX AUGUSTINO ANDERSON

34 ALEX ERICK BANGE

35 ALFRED JOHN ROBAN

36 ALI HAMAD MAKAME

37 ALI JUMA ALI JUMA

38 ALI JUMA HAMAD

39 ALI MOH'D ALI

40 ALI OTHMAN OTHMAN

41 ALI SHAURI MOH'D

42 ALI YAHYA ALI

43 ALICE GOODLUCK MREMA

44 ALLEN LAWRENCE MAHULULU

45 ALLY IDDY MWIJARUBI

46 ALPHONCE JUMANNE CHARLES

47 AMANI IBRAHIM AMANI

48 AMANI SAIDI MATESO

49 AMELIA ANICETUS MRAMBA

50 AMINA ABUBAKARI RAMADHANI

51 AMINA MIRAJI MWILENGA

52 AMINA MZEE HAJI

53 AMINA SOUD YUSSUF

54 AMINA YUSUPH MOSHY

55 AMOUR SAID ALI

56 ANETH EY MWASYOGE

57 ANICET CHARLES MASIKA

58 ANITHA ALEXANDER MBILINYI

59 ANITHA LADISLAUS BALENZI

60 ANTHONY PASTORY RUFUNGULO

61 ANTONY ARCHILEUS RUTAHINDURWA

62 ARABIYA ABDALLA MAISARA

63 ASHA SAID KHAMIS

64 ASHURA SALMIN SHEHA

65 ASMA SHAABAN RAMADHAN

66 ASNAT HENRY MTANGO

67 ASYA A. KHAMIS

68 ATHUMAN MOHAMEDI MAHANYU

69 AUGOSTINO MWITA JULIUS

70 AYUBU MASUKA MATURANYA

71 AZIZI JUMANNE SAID

72 BAKAR M. ABDALLAH

73 BAKARI MBARUKU MKUNDA

74 BARNABAS ELIA ALOYCE

75 BEATRICE AUGUSTINO MAKONGO

76 BEATRICE FAUSTINE MUHOGO

77 BEATRICE IGNATIO DODO

78 BEATRICE MARTIN SIGGE

79 BEATRICE NOEL MBULINYINGI

80 BEDA WALTER MBELENGE

81 BENEDICTO HERMAN NYAMETE

82 BENSON OTTO BUHAHATE

83 BERNADO BLASTUS MKIMBO

84 BONEFACE THADEI MALLYA

85 BRIAN BENEDICT MTAKI

86 CAROLINE ERNEST MATWA

87 CASTOR EMMANUEL WILFRED

88 CHARLES FLORIAN KYARA

89 CHRISTIAN MICHAEL MGAYA

90 CHRISTINA ONESMO KAYOMBO

91 CHRISTINA PAULO MPINJI

92 CHRISTOLUMBA CLIFFORD MAGOBE

93 CHRISTOPHER MICHAEL NG'ONDYA

94 CLAUD MASHAKA NJANGAJE

95 CLEMENCE OSCAR MSALASYE

96 CYPRIAN JASON KYANDO

97 DAMFA HASSAN NGWERE

98 DAMIAN GABRIEL ASSENGA

99 DANIEL AUGUSTINO GIMASA

100 DAUD SABO MATUTU

101 DAUDI MARKO SAMWEL

102 DAVID MATHEW PIZZA

103 DAVID ROBERT BUBELWA

104 DAVID YUDA MGAVILWA

105 DAVIDI SAMWEL KOMBA

106 DENIS ROGASIANI KIMARIO

107 DENZEL AYUBU NYIMBI

108 DEVIS MARKO KIHULA

109 DEVIS THEMISTOCLES MUGANYIZI

110 DHULHULAYFAT ABDALLAH

111 DIANA JOHN HAULE

112 DIANA MICHAEL MAGE

113 DICKSON DEUS SELELE

114 DICKSON K. JOHN

115 DIGNA MIHAYO MSIKHELA

116 DOMINICK CHRISTOPHER SUNGI

117 DONATUS BEVIN KAPUFI

118 DORA ABDALLAH KAWAWA

119 DORAH ELIVAISON NGUI

120 EDSON JAMES MACHANYA

121 ELINA CHRISTIAN KAJONJO

122 ELISAMIA SINGOI ELIAS

123 ELITUMAINI ELITUWAHA MNDEME

124 ELIUD JOSSAM BUKEZI

125 ELIZABETH JOHN KINYANKWI

126 ELIZABETH MASHISHANGA ANTONY

127 ELIZABETH PAUL SOKO

128 ELOGIUS JOEL MILTON

129 EMANUELA ABEL MLACKY

130 EMILY EDWARD JOTHAM

131 EMMANUEL DAUDI SANGA

132 EMMANUEL JOHN MGAYA

133 EMMANUEL JOHN MJULA

134 EMMANUEL JOSEPH MHINI

135 EMMANUEL MARTINE MALELEMBA

136 EMMANUEL WANJARA MUGETA

137 EMMANUEL WILLIAM SAMBEGA

138 ENOCK SIMON MCHABA

139 ERICA BROWN MWAMBAMBALE

140 ERICK ALOYCE MCHUO

141 ERICK ELIAS SINGASILA

142 ERICK ELIPOKEA SUMUNI

143 ERICK PASCHAL STEPHANO

144 ESTER M. KIHOMVOLA

145 ESTER MACHAND KISUNDA

146 ESTHER BRIGHT MSHANA

147 EVA SONGORO MHOZYA

148 EVELINA JOHN JOSEPHAT

149 EWALD JOHN TARIMO

150 EZRON SIMON EZROM

151 FADHIL BARBANAS MHAGAMA

152 FADHILA JUMA SEKIBOKO

153 FAIDHA SWALEHE MNYEKE

154 FARAJA SAMSON WILSON

155 FARHAT MGENI MWITA

156 FARHIYA HAJI AMEIR

157 FARIDA FILBERT CHAULA

158 FARIDA JEILAN ALI

159 FATMA ALI MTUMWA

160 FATUMA MOHAMED IDD

161 FELIX FELIX HAULE

162 FIDELIS EMMANUEL KIPELE

163 FILBERT FRANCIS JUSTUS

164 FLORA MATIA LEVI

165 FLOWER JOSEPHAT NJAU

166 FRANCIS ANTHONY NDESARIO

167 FRANCIS CLEOPHACE MAFURU

168 FRANCISCO MASEKE ANTHONY

169 FRANK ANSELIM SAMIKE

170 FRANK BRYTON KIHOGO

171 FRANK JOHANES NYAMASIRIRI

172 FRANK MASHAKA MSIBA

173 FRANKLIN JOHN

174 FREDRICK FRANCIS MWITA

175 GABRIEL MICHAEL MWAKANEMA

176 GALUS TEOGNUS KISINA

177 GASTON ANTONY MBAWALA

178 GEORGE JOSEPH MSUYA

179 GIVEN UNDULE HAULE

180 GLORIA FESTO MARIKI

181 GODFREY FRANCIS SIGGE

182 GODLISTEN GOODLUCK KIMARO

183 GODLIVER KAZULA CHISTOPHER

184 GODLOVE JOSEPH CHAMBULILA

185 GODLOVE YAIRO MAHAVA

186 GWALUGANO LUSAJO MWAMPONDELE

187 HABIBU ABUBAKARI HUSSEINI

188 HADIJA SALUMU DALUSI

189 HADIJA THABITI GILLI

190 HAFIDH ABDALLA MOHAMED

191 HAFIDH KHAMIS MOHAMED

192 HAITHAM SALEH SALUM

193 HAJI KHAMIS HAJI

194 HAJI SADIKI MTEGETA

195 HALIDI MAHAMUDU MATANZA

196 HAMADI BAKARI KASIMU

197 HAMADI KHAMIS SHAAME

198 HAMIDU ZEDDY MGANGA

199 HAMIS MASWI MAGIGE

200 HAPPY N. FREDRICK

201 HAPPYNESS ALLEN TARIMO

202 HAPPYNESS DOMINIC MICHAEL

203 HAPYNES GABRIEL AIDAN

204 HARITH HAJI KHAMIS

205 HAROUN ALI SULEIMAN

206 HAROUNI MBARAKA KHAMIS

207 HARUNA SUBE HASHIM

208 HASHIM ALLY TARATIBU

209 HASSAN ALI HASSAN MAKAME

210 HASSAN AME HASSAN

211 HASSAN IBRAHIM TABU

212 HASSANI HUSSEIN MGENI

213 HATIBU HAMADI HATIBU

214 HAWA HUSSEIN ALLY

215 HAWA KHATIBU HUSSEIN

216 HERENA GODFREY KIKWEMBE

217 HOSEA EXAVERY MWAKAJONGA

218 HUMPHREY ANSELIMI LYANGOO

219 HUMPHREY ZAKARIA NGALIMANAYO

220 HURA ISSA KAZI

221 HUSSEIN HAMAD MAKAME

222 HUSSEIN HASHIM HUSSEIN

223 HUSSEIN KHAMIS KHALFAN

224 HUSSEIN MOHAMED MKWENDE

225 HUSSEIN SHABANI MDEE

226 IBRAHIM ABDALLA HAJI

227 IBRAHIM ABDALLAH MAINDA

228 IBRAHIM ISMAIL MMANGO

229 IBRAHIM KASSIM SLEYUM

230 IBRAHIM M. ISSA

231 IBRAHIMU HAMISI IBRAHIMU

232 IMAMU HAJI MPACHA

233 INVOLATA AFRICAN EDMUND

234 IRENE ALBERT BUCHAFWE

235 IRENE FESTO PARASIDO

236 IRENE PETER ANATORY

237 IRENE TIMOTHY NZUMBI

238 ISACK YOHANA LUCAS

239 IS-HAKA HAMAD MBAROUK

240 ISMAIL OMAR SAID

241 ISSA HASSAN ISSA

242 ISSA SAID AZIZ

243 JACKSON GINA GIRAGUTI

244 JACKSON JAMES MARWA

245 JACKSON NEST RAMSON

246 JACQUILINE JAMES PIUS

247 JAFAR AHMADA BAKARI

248 JAMES JOHN MZIGULA

249 JAMES JULIUS MNDEME

250 JAMES SILVANO SALLU

251 JANE HENRY NAIMANI

252 JANETH HARRISONI MAITARYA

253 JANETH JOSEPH WILLIAM

254 JANETH RENATUS MAGATI

255 JAPHARI ODEMBA MASHAURI

256 JAPHET JOSEPH YUNGA

257 JARED LUSECHELO MAGWAZA

258 JENISTA MARKUS NCHIMBI

259 JESCA VICTOR CHIAMBA

260 JOACHIM ARTHUR KAFANABO

261 JOACHIM DINYA KIJUU

262 JOFREY JOHN KAHINYUZA

263 JOHN EMMANUEL KAWIA

264 JOHN ERNEST NGOMOI

265 JOHN K. GERALD

266 JOHNSON POLYCARP ODIERO

267 JOKHA MOH'D RAJAB

268 JONATHAN MARCO NIMA

269 JOSEPH EMANUEL MAGEMBE

270 JOSEPH EMMANUEL MKILINDI

271 JOSEPH GREPHACE NDIMBO

272 JOSEPH HILDEBRAND MBUGANI

273 JOSEPH JASTIN KATONGA

274 JOSEPH JOHN LYELA

275 JOSEPH MARTIN KIMARIO

276 JOSEPHINE GARLUS NYENZA

277 JOSHUA JOAKIMU TOLLE

278 JOYCE ALEXANDER JOHN

279 JOYCE BISEKO MALIMA

280 JUDITH JOSHUA MGIMBA

281 JUMA AYOUB OTHMAN

282 JUMA SHABANI IDDY

283 KALUNDE YUSUPH MIKIDADI

284 KAROLIWANGA KIZITO MUHANGWA

285 KASSIM HASSAN SULEIMAN

286 KATENDE MARINYA BONIFACE

287 KELLY HENRY KABOGO

288 KELVIN JOANES KERYA

289 KELVIN RICHARD MZINDAKAYA

290 KELVIN WILLIAM KIBONA

291 KESIA PHILIBERT MAPEMBE

292 KHAIRAT K. JUMA

293 KHAIRUN H. HASSAN

294 KHALFAN AMEIR KHALFAN

295 KHAMIS A. MGENI

296 KHAMIS BAKAR HAMAD

297 KHAMIS HASSAN KHAMIS

298 KHAMIS RISHAD AHMED

299 KHAROUB ALI HAJI

300 KHATIB HAJI KHATIB

301 KIJA DAVID LUSENGA

302 LEDITUS JOHN NYAMANZA

303 LEONARD GASIANO SENZIGHE

304 LEONCE LEONORA SIMBA

305 LETICIA CHARLES MWITA BUKURA

306 LIDYA ERNEST KUYE

307 LUCKMAN MOHAMEDI MIRAJI

308 LULU T. IBRAHIM

309 LUQMAN ALLY JAKU

310 LUQMAN SULEIMAN HASSAN

311 LYDIA MSHAM PETER

312 MAABAD MOHAMED MAABAD

313 MAGRETH EZEKIEL PAULO

314 MAHMOUD H. MAHMOUD

315 MAHMUD HASSAN CHIDOLI

316 MAIMUNA H. KAMOS

317 MAJALIWA SAMWEL KAHINDI

318 MAKAME ISSA RAJABU

319 MARIA LADISLAUS MLELWA

320 MARIAM SENGA HARUNA

321 MARIAM YAHAYA OMARY

322 MARKO GEORGE KIVUYO

323 MARTIN NATALY PETER

324 MARY MILEMBE PETER

325 MARY MSAFIRI WILBROD

326 MARY WAYA JITUNGULU

327 MARYAM ALI HASSAN

328 MASOUD MUSSA HAMAD

329 MASOUD MUSTAPHA IBRAHIMU

330 MATHAYO KADARAJA SAMWEL

331 MATTO EDWARD PETER

332 MAURINE GODIAS SILLA

333 MAXIMILLIAN SAMWELI MASUMO

334 MICHAEL BENARD SAANANE

335 MICHAEL FRANK BESHA

336 MIRIAM CHRISTOPHER FUIME

337 MOHAMED JABIRI SAKIA

338 MOHAMED MASOUD SHAFII

339 MOHAMED OMAR KHAMIS

340 MOHAMED S. MAKUNGU

341 MOHAMED ZUBERI ELIAS

342 MOH'D JUMA MOH'D OMAR

343 MOSES MAJINDI JOSEPH

344 MOSES THOMAS NG'WANDU

345 MOZA SAID MBARAKA

346 MTUMWA HAMZA JUMA

347 MTUMWA RAMADHANI YASSIN

348 MUDATHIR BAIYA

349 MUHUNZI FAKI KHATIB

350 MUKRIM SALUM ABDALLA

351 MULHAT ALI HASSAN

352 MUNIRY ADAM MGASI

353 MUSSA HAMIS HASSAN

354 MUSSA JOHN GWAKISA

355 MUSSA YUSUFU MANGOSONGO

356 MUSTAFA HAMAD FAKI

357 MUSTAFA KOMBO ZUBEIR

358 MUZDALIFAT MUSSA

359 MWAJUMA RAMADHAN ISSA

360 MWANGWALE MWILE KASHELA

361 NAIFAT MUBARAK SLEMAN

362 NASRA ALLY CHISANGA

363 NASRA YUSSUPH LUCAS

364 NASSOR SAID NASSOR

365 NDOLILE MADOSHI KULWA

366 NDUNDA SHUKRANI KAGOA

367 NEEMA EPIMACK OMBELLA

368 NEEMA JULIASTINE MTALEMWA

369 NJIBO SHABAN MKOKO

370 NORBET CHRISTOM SABAS

371 ODILO MAGNUS MBWILE

372 OMAR ISSA KIDETE

373 OMAR PILI KESI

374 OMAR RAMADHAN FADHIL

375 OMAR SAID KASSIM

376 OMAR SALUM OMAR

377 OMAR VUAI IDAROUS

378 OMARI KASIM MASERA

379 OTHMAN ANTHONY GERVAS

380 PAMPHILIUS GOZIBAT KWEYAMBA

381 PASCHAL ADOLF MKUSU

382 PASKALINA BASSO GWANGWAY

383 PETER FRANCIS CHALANGE

384 PETER HERBERT CHILAMBO

385 PETER MAFUTA MLOWEZI

386 PETRO NZURUNGE SAIDA

387 PHILIPO RICHARD PHILIPO

388 PHYLIS EMMANUEL MANDAWA

389 PILLI SAMWEL PAULO

390 PRICILA JORDAN NYENYEMBE

391 RACHEL CRISPIN NGEREZA

392 RAHEEM RASHID MAGETA

393 RAIFA RAHIM MAKAME

394 RAJABU HABIBU RAJABU

395 RAJABU KASIM RAJABU

396 RAJABU SAUSI SALUM

397 RAMADHANI KISILA KUKUMO

398 RAMADHANI KUHA NUNGU

399 REHEMA ALEX KUMWEMBE

400 REHEMA FAIDA KHAMIS

401 REHEMA HASSAN CHEMBELA

402 REHEMA KHAMIS ABDALLA

403 REHEMA NICHOLAUS KAJORO

404 REINHARD ERNEST LYIMO

405 ROSE MRIBA MEREMO

406 ROSEMARY ANDREA MICHAEL

407 RUFAA SAID MNUBI

408 SABATO SAMWEL WEREMA

409 SADICK MUHIDIN MATANGULA

410 SAFIA H. ALI

411 SAFIYA SHAMTE JUMA

412 SAID ADAM HAMISI

413 SAID OMARY NYAMNYORORO

414 SAIDA IBRAHIM MSELEM

415 SAIDI HASSANI WITIMU

416 SALEH KASSIM SOSE

417 SALEH SHADHIL SHAURI

418 SALEHE ROBERT NDOMELE

419 SALHA HAJI OMAR

420 SALIM ALI MUSSA

421 SALMA ABDALLAH YUSSUFU

422 SALMA BARUTI JUMA

423 SALMA KASIMU HAMIS

424 SALMA OGA DADI

425 SALOME COSMAS DEUS

426 SAMWEL CHARLES MARWA

427 SAMWEL ERNEST NTANGO

428 SAMWEL MUSA MASUNGA

429 SAMWELY GEOFREY MWAMBUNGU

430 SANIFU MUMBA LUWEMBA

431 SARAH MILEMBE BUDODI

432 SEBASTIAN CHARLES SEBASTIAN

433 SEIF SWALEH SEIF

434 SEPIDEH OTHMAN MOHAMMED

435 SHAABAN DOTO SHAABAN

436 SHAABAN RASHID SHAABAN

437 SHABIRU SALUM MBONDE

438 SHADRACK GORDON ODUNGA

439 SHAMIM IBRAHIM

440 SHANGWE ISRAEL MWASILEMBO

441 SHARIFA YOHANA TITO

442 SHAWEJI M. ABDALLA

443 SHEIKHA TWALIBU MOHAMED

444 SHIBU ABEID SHIBU

445 SIKUJUA MAIKO KESSY

446 SIMFORIANA PASCHAL MTEMANYENJA

447 SIMFROSA ESAU MAPUNDA

448 STANLEY LWINUKO KIKOTI

449 STEPHANO ELLIAS KITIMA

450 STEPHANO ZACHARIA MWANGA

451 STEVEN MAURUS KASPARI

452 SUBIRA NASIBU SALUM

453 SULEIMAN HAFIDH FAKI

454 SULEIMAN KOMBO MWINYI

455 SULEIMAN SEIF SALIM

456 SULEIMAN SHAAME SULEIMAN

457 SUMAI LUCAS BURUGU

458 SUZANA MALAMBI MAKULA

459 TATIANA MATHIAS GINGI

460 TEDDY MAGATI ZAMBERI

461 THECLA PIUS LUTUMO

462 THEOPHIL GRATION RUTTA

463 THERESIA DANIEL MHOJA

464 THOMAS KANAEL KAMUYA

465 TITUS CONRAD CHAKUPEWA

466 TOTO HAMISI HAMISI

467 TUMAINI EPIMACK OMBELA

468 TWAHA T. KHAMIS

469 TWALIBU ABUU MASAWANGA

470 UMMUL-KURTHUM M. KIJARABU

471 UPENDO PIUS WANKYO

472 VICTOR PASCHAL TEMBA

473 VICTORIA FRANCIS MFILINGE


474 WASILA HAJI SULEIMAN

475 WENDELIN AVOUD WENDELIN

476 WENSESLAUS NGUTUMI NG'WANDU

477 WILBARD KENETH KIMBI

478 WILLIAM MARTIN MADAHA

479 WINFRIDA FAUSTINE MATTO

480 WINFRIDA MENARD MSALILWA

481 YAHYA ABEID HASSAN

482 YAHYA HABIBU JUMA

483 YAKOUB JUMA ABDALLA

484 YASON ALDELIGO NYEMBEKE

485 YASSIN HASAN ZANANGWA

486 YASSIR ALI SULEIMAN

487 YOHANA PETRO CHARLES

488 YUNUS AME HAJI

489 YUNUS MAKAME JUMA

490 YUSSUF MUSSA YUSSUF

491 YUSSUFU MOHAMED DHAMR

492 ZAINAB A. ZAHOR

493 ZAINAB ABDALLA KHAMIS

494 ZAINAB SHEBE ALAWI

495 ZALFA SALEH MOHAMED

496 ZARALI ABDALLA ZARALI

497 ZEDY JUMA MAGESA

498 ZUHURA ALLY SHAHA

499 ZUHURA AYOUB ALI

500 ZUWENA RASUL MOHAMED

                                 👇Download 👇

Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Uhamiaji 2023