The Ministry of Health in improving health services in the country depends to initiate new construction projects and continue with the implementation of projects construction/renovation of infrastructure in Hospitals and Health Colleges Ministries and other areas related to the Health Sector.

 

In order to achieve the implementation of these projects, the Ministry will hire 12 Clerk of Work for a nine (9) month contract who will help in the management of projects in collaboration with the Coordinators projects from the Buildings Division of the Ministry.

TANGAZO LA AJIRA KWA MKATABA Wizara ya Afya katika kuboresha huduma za Afya Nchini inategemea kuanzisha miradi mpya ya ujenzi na kuendelea na utekelezaji wa miradi ya ujenzi/ukarabati wa miundombinu katika Hospitali na Vyuo vya Afya vya Wizara na maeneo mengine yanayohusu Sekta ya Afya. Katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo, Wizara itaajiri Makarani wa Miradi (Clerk of Work) kumi na mbili (12) kwa mkataba wa miezi tisa (9) watakaosaidia katika usimamizi wa miradi kwa kushirikiana na Waratibu wa miradi kutoka Kitengo cha Majengo cha Wizara. Sifa na majukumu ya Makarani wa mradi zimeainishwa kama ifuatavyo:-


Download the  full  Advert Here 


Appply here